Video Za Uchi Za Kibongo8/26/2020
Video hizo zilimuonesha Tiziana akifanya vitendo vya ngono na wanaume kadhaa ambao hawakufahamika.Alikuwa mrembo lakini mwenye kuvunika oyo upesi,alikumbuka Teresa Petrosino ambaye walikua marafiki kwa miaka 15.Alikuwa na watu wasiofaa kwa wakati usiofaa.
Video hizo zilisambazwa kwenye tovuti mbalimbali zinazoonyesha masuala ya ngono.Vitendo vyenyewe kwenye video hizo havikua kitu isipokua sentensi moja tu kutoka mdomoni mwa Tiziana Conte Unarekodi video alimuuliza mwanaume aliyekuwa ameshika Kamera. Safiiii. Msichana ajiua kwa sababu ya hedhi India Muuaji aliyeonekana Facebook ajiua Maneno hayo yaliashiria kuwa mwanadada huyo anapenda kupigwa picha wakati akifanya ngono.Sentensi hiyo ilifanya watazamaji waendelee kuitazama bila wasiwasi:Kama alikua anafurahia kupigwa picha, bila shaka hatachukia watu wakiitazama. Lakini waitaliano walifanya zaidi ya kutazama.Watazamaji walitumia maneno yake kwa msisitizo wakatengeneza t-shirt ambazo ziliwekwa picha yake na pia kwenye tovuti. Hakuna aliyekuwa akifikiria kuwa Tiziana asingependa, kwa kuwa alionekana kufurahia kwenye video hizo. Watu huchanganya kukubali jambo na jambo hilo kusambaa zaidi, anaeleza mtaalamu wa masuala ya mitandao Selvaggia Lucarelli. Unaweza kupiga picha ya video, ukawaonesha watu kadhaa,lakini kunakua na makubaliano kuwa watu hao wasisambaze zaidi. Mimi na yeye hatukuwahi kuongea kuhusu kilichomo kwenye video. Bi Cantone akaamua kupambana.Lakini hakukua na njia ya haraka ya kufanya ili kuondosha video hizo. Aliipeleka kesi mahakamani, akidai kuwa video hizo zilipelekwa kwenye mitandao bila ridhaa yake.Lakini mpaka wakati huo hakuweza kuishi maisha ya kawaida. Alieleza Teresa. Alielewa kwa kiasi fulani kuwa hali hii haiwezi kutatulika;kuwa mume wake,watoto wake wanaweza kuziona video hizo siku moja;na kuwa video hizo hazitaondoka mitandaoni. Maelezo ya picha, Mama wa Tiziana anapambana kurudisha heshima ya mtoto wake Ilimchukua wiki kadhaa Mama yake Teresa Giglio kupata nguvu kuwaambia wanahabari kuhusu maisha ya binti yake. Binti yangu alikua na tabia njema lakini pia alikua na mapungufu yake, aliiambia BBC. Hakua na mapenzi ya baba, tangu alipozaliwa.Hakuwahi kumuona baba yake.Hii iliathiri maisha yake. Mama na mwana waliishi pamoja.Katika kipindi cha furaha, Tiziana alipenda kusikiliza wanamuziki wa Italia, kusoma vitabu vya simulizi, kupiga kinanda.Lakini baada ya video kutapakaa mitandaoni hali hiyo haikuwepo tena. Maisha yake yaliharibika, mbele ya kila mtu, alisema mama yake.Watu walimfanya kichekesho,akaitwa majina mabaya ya aibu. Mwezi Septemba, Mahakama ya Naples iliamuru video hizo zitolewe mitandaoni na kwenye tovuti.Lakini ilimtaka Tizianz alipe faini ya dola 21,600 za marekani, gharama za huduma za kisheria.Fedha ilikua nyingi sana. Tarehe 13 mwezi Septemba mwaka 2016, Maria Teresa Giglio alikwenda kazini, akiwa amemuacha binti yake nyumbani. Bi Giglio alipokea simu kutoka kwa wifi yake,sauti ikiwa ya kupoa sana ikimtaka arejee nyumbani. Bi Giglio amemtaka mpenzi wa zamani wa binti yake, Di Pialo, kueleza hasa alishiriki vipi katika mpango wa kusambaza video zile. Hakunisaidia kuokoa maisha yake.Lakini labda anaweza kunisaidia kupata ukweli. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje.
0 Comments
Leave a Reply.AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |